HudumaMatokeoMitihani
☎ +255 762 142 699 / +255 675 542 699

← Huduma Zote

System Development

System Development

Tunajenga Mifumo ya Kidigitali kwa Mahitaji ya Biashara na Taasisi — inayolenga kurahisisha kazi, kuongeza ufanisi, kupunguza matumizi ya muda na kuboresha usimamizi wa taarifa.

System Development

Huduma Tunazotoa

Tunajenga mifumo kulingana na mahitaji maalum ya mteja, iwe ni kwa matumizi ya kompyuta, mtandao, au simu.

Mchakato Wetu

Jinsi Tunavyofanya Kazi

  1. Kukusanya mahitaji ya mteja
  2. Kuchambua na kupanga mfumo
  3. Kubuni mfumo na interface
  4. Kujenga na kuunganisha database
  5. Kufanya testing
  6. Kufunga na kuanzisha mfumo
  7. Mafunzo kwa watumiaji
  8. Maintenance na technical support kwa mifumo yetu

Kwa Nini Uchague SAMOTech Solutions?

Ubora, usalama, na mahitaji halisi ya mteja.

Tunazingatia usalama wa taarifa, urahisi wa matumizi, scalability, performance na mahitaji halisi ya mteja. Unahitaji mfumo maalum kwa biashara au taasisi yako? Wasiliana nasi leo.

Una hamu ya huduma hii?

Tuandikie tuzungumze kuhusu mahitaji yako.

P. O BOX 162, Makete, Tanzania
Simu/WhatsApp: +255 762 142 699 / +255 675 542 699
Barua pepe: samojastationery@gmail.com