HudumaMatokeoMitihani
☎ +255 762 142 699 / +255 675 542 699

Huduma zetu, kwa kina.

Kila kitengo cha SAMOTech Solutions kimejengwa kutatua tatizo mahususi. Bofya huduma unayoihitaji kuona maelezo kamili.

S

System Development

Tunajenga mifumo ya kidigitali kwa mahitaji ya biashara na taasisi — POS, mifumo ya shule, mitihani, hesabu, na mingineyo, kulingana na mahitaji yako.

Angalia Huduma
E

Examination Services

Suluhisho la kisasa kwa usimamizi wa mitihani na tathmini — kutoka utayarishaji wa karatasi hadi uchambuzi wa matokeo.

Angalia Huduma
P

Stationery Services

Vifaa na huduma za stationery kwa biashara, shule na taasisi — pamoja na uchapishaji wa aina zote.

Angalia Huduma
O

Online Services

Tunakusaidia kupata huduma za kidigitali kwa urahisi — maombi mtandaoni, usajili, na huduma za mtandao kwa wanafunzi na wananchi.

Angalia Huduma
C

Computer Software Solutions

Suluhisho za programu kwa kompyuta na biashara — installation, configuration, troubleshooting, na technical support.

Angalia Huduma
T

Teachers Professional Documents

Nyaraka za kitaalamu kwa walimu — scheme of work, lesson plans, portfolio, ripoti, na miundo maalum kulingana na mahitaji yako.

Angalia Huduma

Una huduma unayohitaji?

Tuandikie tuzungumze kuhusu mradi wako.

P. O BOX 162, Makete, Tanzania
Simu/WhatsApp: +255 762 142 699 / +255 675 542 699
Barua pepe: samojastationery@gmail.com