Suluhisho za Programu kwa Kompyuta na Biashara — installation, configuration, troubleshooting na technical support.
Huduma Tunazotoa
Tunasaidia kuhakikisha kompyuta na programu zako zinafanya kazi kwa ufanisi.
Business Software Solutions
Customized Solutions
SAMOTech Solutions inaweza kutengeneza software kulingana na mahitaji yako. Tatizo lako la software ni changamoto yetu ya kutafuta suluhisho.
Una hamu ya huduma hii?
P. O BOX 162, Makete, Tanzania
Simu/WhatsApp: +255 762 142 699 / +255 675 542 699
Barua pepe: samojastationery@gmail.com