HudumaMatokeoMitihani
☎ +255 762 142 699 / +255 675 542 699

Pakua SAMOTech ExamSystem

Mfumo wa kuchakata mitihani na matokeo ya shule. Pakua toleo la majaribio, lisakinishe kwenye kompyuta yako na ujionee mwenyewe.

Toleo la Majaribio

SAMOTech ExamSystem — Toleo la Majaribio

Toleo: v1.1.0 Ukubwa: 105 MB Imesasishwa: 2 Novemba 2026

Pakua Sasa

Kuhusu Mfumo

Unachopata ndani ya ExamSystem

Hatua za Kuanza

Jinsi ya kusakinisha

  1. Pakua faili la installer kupitia kitufe cha juu.
  2. Bofya mara mbili faili uliyopakua na ufuate maelekezo ya kusakinisha.
  3. Fungua SAMOTech ExamSystem kutoka kwenye menyu ya Start au kwenye Desktop.
  4. Tuma kwetu taarifa ya kompyuta utakayoonyeshwa mfumo unapofunguliwa ili tukupe leseni ya majaribio.

Mahitaji

Mahitaji ya kompyuta

Msaada

Una swali au unahitaji leseni?

P. O BOX 162, Makete, Tanzania
Simu/WhatsApp: +255 762 142 699 / +255 675 542 699
Barua pepe: samotech.solutions2026@gmail.com