Suluhisho la Kisasa kwa Usimamizi wa Mitihani na Tathmini — kwa shule, walimu, taasisi za elimu na waandaaji wa mitihani.
Examination Services
Huduma zetu zinalenga kusaidia shule, walimu, taasisi za elimu na waandaaji wa mitihani kufanya kazi kwa ufanisi na kwa usahihi.
Suluhisho za Kidigitali
Lengo Letu
Kusaidia taasisi za elimu kutumia teknolojia katika kurahisisha usimamizi wa mitihani, kupunguza makosa ya kihesabu na kuongeza ufanisi katika uchakataji wa matokeo.
Una hamu ya huduma hii?
P. O BOX 162, Makete, Tanzania
Simu/WhatsApp: +255 762 142 699 / +255 675 542 699
Barua pepe: samojastationery@gmail.com